Cha mzaramo kwa paja....!!!

Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
Drogba anakula kuku 5 mlo 1 why????
 
Nona huo wali ni kwa ajili ya wanaume wa Dar wanaoataka ku keep figure. Utampaje mwanamme mchapakazi chakula cha mtoto?
 
Naona mboga tu hapo ss wasukuma tuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…