Cha mtu huliwa na mtu na kutu yake chuma

Cha mtu huliwa na mtu na kutu yake chuma

Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu
Mpatie mtumzima secretarybird amfanye kitu mbaya sana.
 
Mkuu namimi nataka niweke hiki kidude kama ww nawekaje
Screenshot_20250527-213136~2.png
 
We acha tu.
Anapeleka moto mpaka hapa nilipo nahisi nina vidonda huku kwa bibi.
Au sijui alininywea viagra mpumbavu yule 🤔.

Sema nataka nijaribu 'rough road'
Haaa haaa hongera na pole, hao vijana huwa wana spidi hatari.

Rough road na Serengeti boy au yule mjomba 🤣🤣🤭
 
Back
Top Bottom