Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,359
Cha mtu akiwezi liwa na mtu Kwa raha ikiwa kwenye nchi Kuna utekaji.Sasa hii nyuzi ya “cha mtu huliwa na mtu” na mambo ya serikali na utekaji wapi na wapi?
Cha mtu akiwezi liwa na mtu Kwa raha ikiwa kwenye nchi Kuna utekaji.Sasa hii nyuzi ya “cha mtu huliwa na mtu” na mambo ya serikali na utekaji wapi na wapi?
Mtoto wa nyoka hawezi kuwa kenge, wakuvumilie tu
Mambo ya nchi nawaachia nyie.
Hapa ni mizagamuano tu kwa kweli, hata ikitokea vita na siwezi kukojo![]()
![]()
nipigwe tu risasi, nikufe.