Cha mtu huliwa na mtu na kutu yake chuma

Cha mtu huliwa na mtu na kutu yake chuma

Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu
Mwanangu unataka kumvunja mtoto wa watu moyo 😅😅
 
Maninaaaaa.
😂😂😂😂😂
Yaani mi nina baba taahira kama ndo hvo nasomaga comments zako we baba hovyo kwa kwli
Ndo ishatokea sasa heshimu wazazi wako uongezewe siku za kuishi duniani, shida unataka kushindana na mimi,eti ukiona tumeingia chumbani unawaka tamaa na wivu kijana,tukikulaani kesho unapotea 😂
 
Leo nimesikiliza podcast ya mtu maarufu aliyekua anasimulia alivyobambwa na mpenzi wake wakati wanakulana kwenye choo cha ndege. Yeye mwanaume alikua anatoa miguno wahudumu wakahisi labda ni medical emergency 😂

Haya wanajukwaa njooni tuambizane mizagamuano inayonoga kuliko yote.

Naanza;

  1. Kumisiana, mnakutana na hamjaonana siku nyingi, alikua safarini au hamuishi mkoa mmoja, halafu mnapeane ile kitu inayozama kwa mwenzake.

  2. Ya kuibia ibia, mmetoka mko kwenye starehe, au ofisini, au kwenye gari, chooni, au nyumbani sebuleni wakati hamuishi wenyewe. Ile mnafanya tendo kwa sababu hisia zimewabana mmeshindwa kuvumilia kufika sehemu ya faragha.

  3. Ugomvi, mmegombana halafu mkachuniana au hamkua kwenye good terms halafu mkajikuta mmesawazisha tofauti na mkapeana ule utamu baada ya kusameheana “make up sex, huwa ni moto sana.

  4. Umefuatilia penzi muda mrefu, halafu anakubali kuja kwako na mnaanza kushikana shikana halafu unamchomekea na kumla kwa mara ya kwanza. Na ukute umetiwa hamu na watu humu JF so ashki zimekupanda unahaha kama Mbaga Jr .

    Haya ongeza za kwako zinazonogaga.
CC:
Nusratt ,babes sijateguka kiuno ila cha moto nimekiona, sasa hivi najisikia mwepesi hata ukinipuliza kidogo tu napeperuka.
Shoga angu pole na hongera.
Nilikuwa natumikia penzi la serengeti boy.
 
Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.

Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.

Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu
Wewe huyo uvumilie kukaa na mwanamke bikra bila kumbandua?

Nipo nimekaa pale....👉👉👉
 
Back
Top Bottom