Amavubi, siku hizi haiitwi mechi inaitwa piga show.kuna kimini nimekiona kwa mbali naona kinatafakari mechi
Mshana jr, kwani wewe unaishi Tanga? Maana hayo makitu nasikia huko ndo penyewe.
Kaitampunu mimi huko ndio asili yanguMshana jr, kwani wewe unaishi Tanga? Maana hayo makitu nasikia huko ndo penyewe.
Hahahaaaa navithamini kaka sivitamani bado naipenda JF....na kijojoleo changu
Kama ni kweli basi mnalala vizuri.Kaitampunu mimi huko ndio asili yangu