mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,150
- 8,112
Sema neno mkuuDAH..
Vijana wanalegeza sana
Waendelee Kujilegeza Tu,,Wahuni Hatusiti Kabisa Kubutua Ramani....
Vijana wanalegeza sana
Inategemea na position uliyopoNakazia, UKITAKA KULA LAZIMA ULIWE.
Hakuna psition mkuu.Inategemea na position uliyopo
Tupe neno la matumaini mkuuKazi sana
Numempenda huyo Mbappe.Remi ongola aliimba "wemaaa kweli wema kumanyooooko"!.
Kabla ya kuomba kitu lazima ufikirie cha kutoa in return. Kinyume na hapo lazima nyama kwa nyama ihusike haijalishi wew ombaomba na unae muomba mnajinsia zipi. Mjini toa upewe, weka uwekwe, au jaza ujazwe!?
Punguzeni sana wema , Kila mtu ana mtu wake muhimu kuliko wewe..!!!adiossssssss!View attachment 3626979
Mpokee bwana kua mwokozi wa maisha yako 😎Tupe neno la matumaini mkuu
Kina makende Hilo mkuu😁Numempenda huyo Mbappe.
Mbona ni wa kike mkuu!Kina makende Hilo mkuu😁
Aibu utaona wewe.Nakazia, UKITAKA KULA LAZIMA ULIWE.
Wema huo mimi sina.Aibu utaona wewe.
Ata uyo ongala sijawahi kumjuaSema neno mkuu
Do upost kabila letu na sketi zetu mkuu.?Remi ongola aliimba "wemaaa kweli wema kumanyooooko"!.