Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!
Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!
Habari wana jamvi.,
Kuhusu Paper za CFA bdo hakuna centre wala (KBO) knowledge processing centres in East Africa. Zipo centre mbili tu Africa So far, Ghana na South Africa. CFA examz zimegawanyika katika level tatu.
Mtiani wa level 1 hufanyika mara mbili kila mwaka June na Dec na levels 2 na 3 hufanyika June pekee.
i hope this was a useful infor