Wana JF polen na swaumu! je naomba kufahamishwa kuna husiano gani kati ya mtu kutoitwa kwenye usaili na kutocertify vyeti mfano kwa wakili? au mtu kutocertify vyeti yaweza kumnyima fursa kuitwa kwa interview?
Inamaana ukifanya hivyo unakuwa nauhakika wa kupata kazi au huu ni mwendelezo wa kuendelea kutuchukulia hata hizi hela kidogo tulizo nazo,lakin nakushauri fata wanachotaka,sijui ni kweli waliosema "mtaka cha uvunguni sharti ai............