Srinivan Ramanujan
Senior Member
- Nov 1, 2019
- 159
- 202
Habari,
Nilimaliza kidato cha sita katika shule fulani hivi hapa Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita.
Baada ya miaka kadhaa leo nimeenda shuleni hapo kwa dhumuni la kuchukua cheti changu hicho lakini cha kushangaza nikaambiwa kuwa cheti changu hakijafika shuleni.
Sasa nimebaki na maswali kwa nini cheti changu kisifike shule ilihali vya wenzangu vipo na wengine walishavichukua kitambo sana?