Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

Mataifa saba ya Africa yameiondoa juice ya Ceres sokoni na kuzuia kununuliwa kwa kuwa inakiwango kikubwa cha sumu ya Patulin inayosababisha madhara ya kuhara na kutapika

Nchi za Uganda, Kenya ,DRC , Zambia, Malawi, Seychelles, Mauritius zimelazimika kuondoa juice hii sokoni na kuzuia kuagiza

Japo nchi tajwa zimetumia mwavuli wa COMESA kugomea bidhaa hii inayotengenezwa Africa Kusini ni bora mamlaka za Tanzania kupiga marufuku kwakuwa inauzwa sana hapa nchini na tuko na juices nyingi tu bora za wazawa.

USSR

View attachment 1973664View attachment 1973665
TBS ni sound tuu hakuna kitu pale
 
Ndo hivyo sasa kazi ionekane ikifanyika, maana mmeshalalamikiwa pia kuhusu bidhaa zilizo chini ya kiwango hasa kutoka china kujaa kwenye soko la bongoland.......
sawa mkuu kila hatua dua.
 
Back
Top Bottom