King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,970
- 69,317
Mkuu kauli ya raisi ndio kauli ya mwisho kinachofuata utekelezaji,inawezekana watendaji wake wanamuhujumu ingawa yeye ana nia njema.Ndugu yangu, you are smart than this. Uhuru kusema ni danganya toto tu! Nenda Kenya uone kama utaajiriwa. Umesahau walivyowadharau madaktari wetu?
Kwasasa Tanzania ina graduates wengi na wenye uwezo. Wapo Wabongo kibao diaspora wana exposure za kufa mtu bora warudi wachukue nafasi hizi.
Nchi yetu lazima iwe makini sana inapotaka kutoa vibali. Tumechezewa mno.