joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Lengo nikukuonyesha kwamba hatuwaogopi kama wanavyowaogopa Kenya kwa kuwakabidhi sector muhimu zote za uchumi na kuwaacha wafanye wapendavyo, sisi tunauthubutu wa kuwadhibiti, suala la kwamba kama ni sawa au sio sawa hilo ni swala lingine linalohitaji mjadal wa kina.We unadhan kukwamisha mizigo Yao bandarin ndio tumeweweza ACACIA?? Tusijerudi nyuma enzi zileeee kuanza kuchezea dhahabu Kama kete za bao