Sio ufisadi, ikiruhusiwa kuuzwa kwa bei hiyo viwanda vingine vitakufa, kumbuka kwamba Kiwanda cha dangote ni kikubwa afrika mashariki na kati na pia Mahali kilipojengwa kuna deposit kubwa sana ya malighafi kuvizidi vile vya tanga,mbeya, twiga n.k hivyo kufanya hivyo kunaweza kuathiri hivi viwanda vingine vidogo na hatimae kupelekea kufa kabisa. nawasilisha