Celtel Kulikoni?

Celtel imebadili jina na kuitwa Zain. Mabadiliko haya yanaonyeha ni njia mojawapo ya kukwepa kodi. Kama sivyo ni kwa nini wabadili jina. Na mabadiliko ya jina yataongeza tija au kuna faida gani?
 
Zain ......it sounds Zanzibarian

Any way, sidhani kama ni kukwepa kodi, kama kampuni inaweza kukwepa katika nchi 14 za Africa (ambapo Celtel ilikuwepo) kwa mkupuo basi waafrika "tumeoza".

Naamini haya ni mabadiliko ya kibiashara tu na hayahusiani na kukwepa kodi.
 
Back
Top Bottom