Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Tarehe moja itaanza kuitwa Zein.Hiyo mbona ni wiki sasa toka wameeanza kukusanya chochote kilichoandikwa Celtel..on !st august utaona mabango yote..yatabandikwa siku moja kwa nchi zote ambazo Zein imenunua kampuni hizo..ndiyo siku ambayo bei za simu zitakuwa juu zaidi.Nimegundua kwamba kampuni ya kutoa huduma za simu za mikononi ya Celtel imeondoa matangazo yake yote na hata magari yao siku hizi hayako branded! Je nini kinaendelea huko Celtel? au ndo kampuni lishauzwa tena?
Tarehe moja itaanza kuitwa Zein.Hiyo mbona ni wiki sasa toka wameeanza kukusanya chochote kilichoandikwa Zantel..on !st august utaona mabango yote..yatabandikwa siku moja kwa nchi zote ambazo Zein imenunua kampuni hizo..ndiyo siku ambayo bei za simu zitakuwa juu zaidi.
I mean Celtel..Thanks Gembe,
Ina maana hawa Zein wamenunua Zantel na Celtel au unamaanisha nini?
'ZAIN'Tarehe moja itaanza kuitwa Zein.Hiyo mbona ni wiki sasa toka wameeanza kukusanya chochote kilichoandikwa Celtel..on !st august utaona mabango yote..yatabandikwa siku moja kwa nchi zote ambazo Zein imenunua kampuni hizo..ndiyo siku ambayo bei za simu zitakuwa juu zaidi.
Nimegundua kwamba kampuni ya kutoa huduma za simu za mikononi ya Celtel imeondoa matangazo yake yote na hata magari yao siku hizi hayako branded! Je nini kinaendelea huko Celtel? au ndo kampuni lishauzwa tena?
Tarehe moja itaanza kuitwa Zein.Hiyo mbona ni wiki sasa toka wameeanza kukusanya chochote kilichoandikwa Celtel..on !st august utaona mabango yote..yatabandikwa siku moja kwa nchi zote ambazo Zein imenunua kampuni hizo..ndiyo siku ambayo bei za simu zitakuwa juu zaidi.
Zain sounds like a pain,
....Hilo ni la kuuliza tena mkuu??? Mtu amefanya biashara faida mlima hakuna kodi....wanabadilisha jina wanaendelea kula maisha wadanganyika tupo tumetumbua macho tu...Haya maviongozi sijui yanajua wanachofanya kweli?? Baada ya "Zain" wanakuja na jina lingine maisha yanaendelea kama pochi la mjinga watu wamejiokotea...Kazi kwelii kweli Zein tena au njia ya kukwepa kodi hii Tax Holiday zitolewe....
'ZAIN'
It will be called 'ZAIN'
and not 'ZEIN'
Kama vile ulikuwepo baba,,,,, Tax Holiday for 5 years halafu watakuja na jina lingine,,,, Wadanganyika tunakodoa mimacho tu,,,Kazi kwelii kweli Zein tena au njia ya kukwepa kodi hii Tax Holiday zitolewe....
Kama vile ulikuwepo baba,,,,, Tax Holiday for 5 years halafu watakuja na jina lingine,,,, Wadanganyika tunakodoa mimacho tu,,,
About Celtel & Zain...it has grown significantly becoming the 4th largest telecommunications company in the world in terms of geographic presence with a footprint in 22 countries spread across the Middle East and Africa providing mobile voice and data services to over 45.7 million active customers (as at 31 March 2008).
In the Middle East the company operates under the Zain brand name in Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait and Sudan. In Lebanon the company operates as mtc-touch. Zain plans to commence operations in the Kingdom of Saudi Arabia in 2008.
In Africa, Zain currently operates under the Celtel brand (www.celtel.com)..
Media Enquiries:
info@zain.com
Waziri wa Mambo ya Ndani,Lawrence Masha(kushoto)na Mawaziri Wakuu wastaafu, Jaji Joseph Warioba(katikati)na Dk.Salim Ahmed Salim ambaye pia ni Msuluhishi wa mgogoro wa Darfur nchini Sudan,wakipeperusha bendera ya Taifa wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
...Kulikoni haya makampuni ya simu, nayo yana siri gani? Tulianza na TRITEL sasa tuna VODACOM, enzi zile tulianza pia na MOBITEL sasa TIGO, nayo CELTEL sasa ishakuwa ZAIN, anyway, mwendo mdundo.
...mtandao wa ZAIN... ulivyosambaa afrika na mashariki ya kati...
View attachment 1855