CellPhone Protection | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CellPhone Protection

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Buswelu, Jul 15, 2009.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hello Wagwana

  Nime experince fast hand kuibiwa simu baada ya kukaa na simu kwa miaka ipatayo minne sasa...kwa kweli niliona kama nimepoteza hata kilo mwili.

  Siku za siku hizi unaweza weka mambo mengi sana zina kupa unafuu wa kutembea na vitu vingi na kukumbuka vitu vingi kwa wakati mmoja..Hii ni moja ya simu nilizoyo kuwa nayo...sasa vibaka wamenipatia na kuiiba juzi usiku.Yaani nilifanya backup ya contact na sms zangu three month ago sijawa safe sana hata hivyo sms zipatazo 1000 na document zimeondoka.

  Wangeiba na warrent basi saa hizi wangekuwa wana download pesa.Sasa wakuu Naomba msaada wenu katika ulizi wa data zako kwenye simu in case imeibiwa...hii ya kwanza kwa kuwa na uzoefu nayo muda mrefu sikuwahi kuwa na wazo la kuweka password...sasa nimejifunza.Noamba msaada nimenunua Nokia E71 kwa sasa kuna mtu anaweza kuwa anajua jinsi ya kuilinda data zako mtu akiiba basi iwe ni bure kwake?Kuna utaratibu wa ku flash simu je huu hauwezi kuondoa maana ya ulizi kwenye simu?

  Regards
  Buswelu
   
 2. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #2
  Jul 15, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Usipoweka pass word,data inaweza kuibiwa,simu inaweza kufanyaiwa hacking.
   
 3. i

  iceberg Member

  #3
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama simu yako ina WAP,fungua wap.mobango.com utakuta sehemu imeandikwa "applications" fungua halafu kwenye "search" tafuta application inayoitwa "power lock" kisha download kwenye simu. hii itakuwezesha kufunga simu yako kwa kutumia "pass word" hata ikiibiwa "flashing it will be useless" hawatapata data zako. nadhani utakua umenipata :)
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ..
  Tembelea link hii nazani hiki ndio unacho hitaji. Guardian simu yako lazima iwe hacked ili uweze ku-install apps hii.
   
  Last edited: Jul 15, 2009
 5. Mau

  Mau Senior Member

  #5
  Jul 15, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana kaka kama ungekuwa una uelewa huu tokea mwanzo ungekusaidia. kwanza kabisa kwa ajili ya security unatakiwa kuweka software mbalimbali kwenye simu yako.
  tafuta software inaitwa MOBILE TRACKER hii itakusaidia pindi utakapopotelewa na simu kila simcard mpya ikiwekwa kwenye ile simu utapata sms yenye namba ya hiyo simcard.
  pili tembelea website hii www.getjar.com ina application nyingi sana za simu zikiwemo za security. pole sana kaka
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Jul 15, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu wapi wamekuibia simu ? Ukienda kureport hiyo simu yako inaweza kuwa tracked ikapatikana kwa urahisi tu , uwe na taarifa zake za kweli tu
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ...
  Getjar huwezi kupata "craked apps", sijuwi kama uko tayari ku purchase apps. Apps nyingi getjar ni trial au free. Lakini program zote za"symbian phone" kama E71, nyingi sio free ila upate cracked version, ambazo hupatikana kwenye forums mbali mbali. Getjar
  Hawana forum ya simu. Signup hapafrendzforum.org ukisha funguaOS9 ZONE simu yako lazima iwe hacked ili uweze kuinstall unsigned apps. Kwa security apps Guardian ndio ya hakika nyengi zote ni blaablaa tu. Kitu muhimu kwa symbian fone lazima iwe hacked au ujuwe jinsi ya ku sign unsigned apps.
   
  Last edited: Jul 15, 2009
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mwanza....Nokia E 61i..worse zaidi ni kwamba nimekuwa nayo kwa miaka 4.5 saa...serial number sikuwa wahi fikiria kuwa nayo kichwa...Je hata kwa hilo naweza pata msaada?Au nifanye kama sadaka isiyo hiari?
   
Loading...