Cell phone tracker

Surabaya

Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Naomba msada kama kuna uwezekano wa kupata kumbumbu za simu nilizo piga au kupigiwa pamoja sms ambazo kwa bahati mbaya nilizifuta kutoka kwenye simu yangu na pia kama kuna uwezekano wa kupata maongezi yaliyo kuwapo na pia kujuwa simu ninayo wasiliana nayo iko sehemu gani niliambiwa kwamba kampuni hizi za simu hurekodi simu zote lakini sijajuwa jinsi ya kupata kumbukumbu hizo
 
kupata muda inawezekana lakini mpaka upitie polisi kupewa kibali kuhusu maongezi hicho kitusidhani kama kipo kibongobongo..
 
kupata identity ya mtu mwengine si rahisi hata uende wapi,wenye mtandao hawawez kukupatia.message zako labda ,ukiwasiliana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…