Celibacy . . .


unaweza kama tu, hubipu nje, na pia kama kweli hujichui.
 
Mmmh, Scary!

Hapo sasa
 
mwenzenu tangia@the secretary anipige chini nimekuwa celibacy,chezeiya bishanga kwa u celibacy,konnie njoo basi tu celibacy chap chap.

hahahahahahha! umenifanya nicheke mbavu zanguuu uwiiiiiiii! BTW sasa mimba yake ya mapacha analea nani?? je haikuwa yako?? nafikiri Judgement ndo aanaye kusaidia kuongeza viskio na macho lol!
 
Last edited by a moderator:
@kongosho ulikuwa unawaza nini kufungua huu uzi?

Nilikuwa nawaza kuacha kabisa haya makitu

sogea ubaazi huu nikuondolee celibacy yako.

Una makelele sana, sitaki!

Hamu ya useja/uteja imekufanya ushindwe kusoma?

Babu hatoi ulinzi yeye bali anakutafutia mlinzi makini!

Umeelewa?

Oooh, nimekupata now
Huyo mlizi hataniweza, mie naye mtata kama nini

mwenzenu tangia@the secretary anipige chini nimekuwa celibacy,chezeiya bishanga kwa u celibacy,konnie njoo basi tu celibacy chap chap.

Weeee, wee umekaa muda mrefu mno
Zimeshagandana kama gundi
 
Nilikuwa nawaza kuacha kabisa haya makitu



Una makelele sana, sitaki!



Oooh, nimekupata now
Huyo mlizi hataniweza, mie naye mtata kama nini



Weeee, wee umekaa muda mrefu mno
Zimeshagandana kama gundi

ndo alivyokwambia ticha gfsonwin? nawe ukamwaminia? poor konnie.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia zimeganda zinatoka kama uzi mreefu, zikigoma inabidi usaidiwe kwa kuzituta kama uzi

huyu kichupa kimejaa hana lolote zaid ya kuchafua watoto wa wanaume wenzie. usimkubali
 
Nilikuwa nawaza kuacha kabisa haya makitu



Una makelele sana, sitaki!



Oooh, nimekupata now
Huyo mlizi hataniweza, mie naye mtata kama nini




Weeee, wee umekaa muda mrefu mno
Zimeshagandana kama gundi

Huwezi lolote wewe...kamalizane na Zombie wako....

Haya mambo ya wazee na useja huyawezi wewe!!

Babu DC!!
 
babu mie huniwezi kwenye celibacy bana

na uwezo mkubwa sana kwenye hii nyanja.

Huwezi lolote wewe...kamalizane na Zombie wako....

Haya mambo ya wazee na useja huyawezi wewe!!

Babu DC!!
 

Hahaaaaa punyetooo dot com....ni live tendonla ndoa vibaya sana ....
 
mmmhhhh! sasa mnanichanganya...... kumbe hii hali unaweza kuwa in and out? siyo permanent?

This post was meant to respond to your post above lakini sijui ilikuwaje nikajijibu mwenyewe. lol


 
ahahahhahahhahhahahha asituzingue hapa!
celibacy celibacy!
mwishowe zombie akute KUTU bure!ah!


Unajua nini "mzee mwenzangu"....huyu Kongosho anachezea bahati,

Ngoja Zombie likate kamba kama Msukule uliorudishiwa ulimi wake....

Nakwambia atashinda hapa akipinga ukungwi na kuomba msaada...

Shauri yake kama ataendelea kuchezea bahati kwa kukaribisha mawazo ya kindoto ndoto ya useja/uteja!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…