Celibacy . . .

Kongosho nimeikuta mada mbali kweli celibacy kwa kiswahili fasaha huitwa useja, huu hufanywa na watu ambao wameweka nadhiri zao kwa Mungu ama wana nia ya kupata kitu fulan.

mfano mapadri, masista ma brother ma mabruda hawa wote hupaswa kuish maisha ya useja.
mm gfsonwin kama mkristo wa kawaida naweza pia kuweka nadhiri ya useja kwa muda fulan, mara nyingi sana kama mtu anataka kufunga novena labda siku 90 huwa anaweka nadhiri ya kutokufanya tendo la ndoa pia wakati wa mafungo na hii ni ili aweze kuishkilia fungo yake vzr. kumbuka kwamba ili uweze kuweka nadhiri lazima iwe ni ile ambayo itakuumiza kidogo kusudi uikiriri nafsi yako.

niseme hairuhusiwi kwa mtu kuweka nadhiri let say ya mwezi lkn kumbe kawaida yake anaweza kuish mwezi mzima bila kushiriki tendo la ndoa. inatakiwa kama ktk hali ya kawaida unaweza kukaa mwezi mzima basi ktk hali ya useja ukae zaid ya hapo like miez 2 ama 3

matendo ya kissing, flirting na yenyewe hayatakiwi unapoweka nadhiri ya useja. PIA ukumbuke kwamba maombi ya kufunga unayaoyafanya ukiwa ktk hali hii hujibiwa haraka sana, binafsi niliwah kufanya hivi na kabla ya kumaliza mfungo Mungu alikuwa kesha nijibu.
 
Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.

Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
unaweza kujamiiana na mkono wako mwenyewe? (jamiiana comes from jamii sio?)
 
gfsonwin kumbeeee ndo mana uliniopoa kirahisi,mwenyewe huwa najishangaa how did i fall in maloveeee kirahisi hivo.
 
Last edited by a moderator:
huwa naskia kuhusu celibacy.

Ni nini?

Inasaidia nini?

Ni vitu gani usifanye ili celibacy iendelee kuwa valid.

Msaada tafadhali . . .

sogea ubaazi huu nikuondolee celibacy yako.
 

Swali, je hao waseja wanaoweka nadhiri hupatwa na wet dreams (sexual dreams that cause a boy or man to have an orgasm while sleeping)?

Maana nadhani sisi binadamu hatuna uwezo wa kuzuia ndoto. Huwaga zinakuja tu tukiwa tumelala ingawa kuna tafiti pia zinazoonyesha watu huota yale ambayo huwa wanayafikiria lakini pia huota yale ambayo huwa hawajayafikiria.

Sasa ikitokea umepatwa na ndoto unammega mchuchu na ukafikia mshindo ilhali ushaweka nadhiri ya useja, hapo inakuwaje? Unakuwa umekiuka kanuni za useja?
 
ndio huwa wanaweza kupata ila hii hutokea iwapo mtu hatasimama katika kusali, na kujitakasa muda mwingi.

inapaaswa mseja awe ni mtu wa kuomba sana ili asiingizwe majaribuni na hapa hutakiwa hata kutamkia viungo vyake mfano mm gfsonwin nitasema naviweka wakfu nyonyo, uchi, ulimi nk wakfu kwa Mungu na navitakasa kwa damu ya Yesu ili ibilisi asinitie majaribuni kupitia viungo hivi.

ikitokea umepata ndoto nyevu yakupasa bila kuiharibu utubu kwa Mungu kisha ueke nia ya kuendelea hadi umalize nadhiri yako. sio kazi nyepesi na ndio maana wale ambao wako kimaslah katika ngaazi hii ya useja huanguka dhambini.
 
He he he, kama wwe ndie mlinzi basi itakuwa ngumu sana
Maana naweza kuvunja nadhiri ili tu nivunje nadhiri yako kwa bibi

So wote wawili tutajikuta tumevunja nadhiri zetu

Hamu ya useja/uteja imekufanya ushindwe kusoma?

Babu hatoi ulinzi yeye bali anakutafutia mlinzi makini!

Umeelewa?
 

Kwa hiyo na mie katika kipindi hiki cha kusubiria marejeo ya mama Ngina naweza kujitangazia useja, maana duh, mpaka miezi sita ipite......... Eeh mwenyezi Mungu nomba uniepushie hawa vimwana wanaokatiza mbele ya upeo wa macho yangu.................LOL
 
mwenzenu tangia@the secretary anipige chini nimekuwa celibacy,chezeiya bishanga kwa u celibacy,konnie njoo basi tu celibacy chap chap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…