CELEBRITY huyu hapa JF kajivua gamba!! ........

CELEBRITY huyu hapa JF kajivua gamba!! ........

😛oaUamuzi wa busara. Kilichobakia tuu sasa hiyo avatar nayo ubadilishe:A S-coffee:

Mbona hiyo avatar wadada wengu humu wanaizimia!!
MAPROSOO.
 
Bado mmoja anajiita KIFILIO naomba naye umpe ushauri abadilishe ID yake
 
Aise huyu Maprosoo bado kakaakaa kipopobawa maana anatuogopesha
Hahahah!hilo jina limekaa km ana mshiko mrefu kwa abiria chunga mzigo maana anaweza mwaga mihela akakuchukulia mke aisee!
 
Bado mmoja anajiita KIFILIO naomba naye umpe ushauri abadilishe ID yake

Hilo mi mwenyewe linanitisha!! kama vp mkuu hilo jina la popo ji2pie ww mana si umeona hapo juu mchuchu kaku2nuku ulichukue ww.
MAPROSOO.
 
Hahahah!hilo jina limekaa km ana mshiko mrefu kwa abiria chunga mzigo maana anaweza mwaga mihela akakuchukulia mke aisee!

Sichelewi kuhonga VX wakati mi napanda daladala.
MAPROSOO.
 
Hilo mi mwenyewe linanitisha!! kama vp mkuu hilo jina la popo ji2pie ww mana si umeona hapo juu mchuchu kaku2nuku ulichukue ww.
MAPROSOO.

Labda unipe kwanza maujanja kwenye kuvizia kwako
 
celebrity mimi nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha ID!! kutokana na sababu ya kuombwa kubadilisha kila kukicha!! na wengi hapa JF wanaopenda michango yangu ya kujenga na kuelimisha, ........naomba pongezi zenu kwa kuchukua maamuzi magumu. naomba JK nae achukue kama changamoto ya kufanya maamuzi magumu ya kuachia ngazi pale magogoni.
ni mimi celebrity wenu niliekua popobawa.
MAPROSOO.

afadhali.
Naona hata michango yako nayo imevua gamba...
Well done!
 
afadhali.
Naona hata michango yako nayo imevua gamba...
Well done!

Nategemea na wewe kuiga mfano na kujivua gamba kwenye ligi za hapa jamvini.
MAPROSOO.
 
Back
Top Bottom