CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Uamsho wanatisha kweli, sasa kwa nn kwenye timu ya taifa ya muungano, wazenji ni wachache ?
 
.., Kilimanjaro Stars wakirudi wapelekwe moja kwa moja MAKUTOPORA, wakae kwa muda wa siku 7 tu...
 
Sina comment, isipokuwa natamani sana Kenya iifunge Uganda hivi punde.

Si rahisi japo hata mimi ningependa iwe hivyo ili wakamshughulikie huyo bosi wao aliyenaswa alimlawiti mchezaji mmoja wa Uganda Cranes.
 
.., Kilimanjaro Stars wakirudi wapelekwe moja kwa moja MAKUTOPORA, wakae kwa muda wa siku 7 tu...

Makutupora a.k.a Makutupoa si mahali pa kupelekwa hawa jamaa ni pazuri sana, kama ni hivyo wapelekwe Bulombora wakapigishwe kwata kisha warudishwe Ukonga kwa mafunzo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…