Ina maana Uganda hawakujiandaa hadi kuchezea kwenye tope hivi kama ng'ombe.?
Ni kama unachosema ni kweli, hii inathibitisha kwanini ukanda wetu wa afrika mashariki kiwango kipo chini maana hatuzingatii wala hatuweki maanani viwango vinavyopaswa katika mpira wa miguu, iwe ni Pitch, sheria 17 nk.
kocha aliahidi aiporudi na kombe ana achia ngazi!!!!!Gooooooo!!! Zenji 2 rwanda 0 dk ya 62.
Ni kama unachosema ni kweli, hii inathibitisha kwanini ukanda wetu wa afrika mashariki kiwango kipo chini maana hatuzingatii wala hatuweki maanani viwango vinavyopaswa katika mpira wa miguu, iwe ni Pitch, sheria 17 nk.
Zanzibar yapiga la pili. Hongera.
mkuu naona kama unatoa hongera kwa unyonge!!!Zanzibar yapiga la pili. Hongera.
Ilijuwa pasi matata toka kwa Sulemani Kassim, uzembe wa beki ukamfanya Mcha kufunga kwa uzuri kabisa
mkuu tumshukuru Mungu inaonekana hili tope lipo upande wetu.:clap2:
mi sijui nina matatizo gani!!natamani kama Tanganyika ndo ingekuwa tunakamua wapinzani namna hii!!!!kina hamiii wanauwa huku tanganyika tunakunya tu sababu ya uchoyo..
kocha aliahidi aiporudi na kombe ana achia ngazi!!!!!
mkuu unasimama upande upi!!Tanganyika au hao wanao ongoza kwa 2Tumetumwa kombe...
tatizo wakati mwengine ni ss huwa hawa jamaa kuhamahama huwa hawapendi wewe siunakumbuka hata kagame gemu za chamazi walikuwa hawaoneshi hadi taifa tu hilo nalo linaweza kuwa tatizo chengine hata muamko wa mashabiki pia nalo ndio shida..
au hakuwa na uhakika wa timu yakemkuu huyo atakua alipanga tu kutema kibarua.!