Huyu Ndikumana anaujuwa mpira kwa kuutizama na kuucheza Watu kama hawa mipira yetu ya Magoli ya mawe Unamrukia mbili atoke nje. Hawa Wachezaji wa Kilimanjaro mpira ni mbovu mtu kuzunguka anageuka na mpira kwa Tabu utafikiri anazunguka Roundabout ya Uhuru na Msimbazi.
We bado kwelikweli,yani kwa dunia ya sasa u=ya utandawazi unaweza ukasema umepotea JF kwa sababu ulikuwa kijijini,Namanyele mbona unataka kujidhalilisha mkuu?!!!!