Fu.ck the politics and let the game speak of itself...
Wanyasa wamependeza kwa uzi wao safi, my favourite color combo ni kijani na nyeupe, kama Gor Mahia, Wolfsburg, Werder Bremen, Celtics za Mangaung na Glasgow et cetera. Ujinga wa Yanga na Simba huwa hauko akilini mwangu, ukipita kwenye uzi kuna mahali nimeandika Yanga hoyeee wakati nikiripoti Niyonzima kuwa nahodha leo, ukija kichwa kichwa unaeza kunipakazia u-Yanga.
Viva la Coastal Union SC, 11 Ngamiani Street, Tanga Metropolitan.
Beki wa Zanzibar, Nassor Masoud ‘Chollo', (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana. Kiungo wa Zanzibar, Khamis Mcha ‘Vialli', (kulia) akigombea mpira na beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana