Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
kweli ni noma sana..
Hakunaga kama siku ya leo.
Kila ninayekutana naye nsmchapa 10,000/=. Nimefurahi sana Azam kutolewa, wajifunze kucheza fair play. Walitakiwa kukataa mwaliko wa kifisadi uliotengenezwa na Musonye. Bila shaka Musonye ataanzisha mashindano mengine ili Azam washiriki tena. Shame on you Musonye forever.
Kusikika ni uamuzi wa Media, hakuna uhusiano na ubora wa timu. Azam inabaki kuwa timu bora kabisa katika kipindi hiki cha kuelekea mabadiliko ya Soka, hilo halipingiki.yaani hata hawakusikika,ingekuwa yanga au simba humu pasingekalika
Uongozi tatizo kivipi??Uongozi ni tatizo kubwa sana azam
El-Mereikh wanapata goli la pili hapa, Raggi anamalizia rebound murua kabisa...
Sisi 1, wao 2