CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

Watani mmeshindwa kabisa kuficha hisia zenu kwa Musonye
 
Last edited by a moderator:
Teh, usiniambie ni mambo ya Zanzibar si Nchi?
Mkuu, bonanza za CECAFA zinahusisha nchi kwa vilabu na timu za taifa. Zanzibar ni nchi kiCECAFA sawa na Tanganyika (inayovaa koti la Tanzania), Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Sudani, Sudani Kusini, Eritrea, Somalia n Djibuti. Sasa TBC kuweka bendera za nchi TANO tu huo ndio 'ukweli na uhakika?' Kama unadhamiria kufanya jambo basi ni heri kulifanya KIKAMILIFU na si vinginevo.
 
Nimekusoma mkuu, nilikuwa nafanya jokes tu...
 
Mchezo unaoendelea ni kati ya Athletico ya Burundi na Gor MAhia
 
Mpira ni mapumziko, Gor Mahia 0 - 0 Athletico
 
we nadhani ni moja ya viongozi wa ile timu inayohonga mil150 ili tu kushinda ligi kuu ya mil70. Mapovu naona yanakutoka na mwaka huu utakonda sana,utahonga na utapigwa

Mkuu NGARUKA na wale waliomsajili OKWI kwa yale mamilioni, akili zao unaziweka wapi? wivu wa kike!
 
Last edited by a moderator:
Athletico wanapata goli la uongoza dakika ya 73, mfungaji ni Haziyemana
 
Dakika ya 92, bado Atletico wanaongoza goli moja
 
Mpira umekwisha.

Athletico wanashinda kwa goli moja kwa bila
 
Matokeo ya mechi za jana

CECAFA KAGAME INTER-CLUB CUP 2014 RESULTS


MON 11. AUG
18:00​
1
- 3

Vital O
Police FC​


16:00​
0
- 1
Gor Mahia
Atletico Olympic​


14:00​
0
- 4
Benadir SC
Al-Merreikh​





 
[h=2]CECAFA KAGAME INTER-CLUB CUP 2014 FIXTURES[/h]
TUE 12. AUG
13:00​
vs​
KMKM FC
Adama City



13:00​
vs
Azam FC
Al-Ama



 
Kutoka katika ukurasa wa Facebook wa Azam FC


Wapi ndetichia?
 
Last edited by a moderator:
Adama city ni timu ya daraja la 2 nchini Ethiopia waliteuliwa mara baada ya timu zote za ligi kuu kukataa kushiriki kagame cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…