CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

nikiwa nimevaa jezi yangu ya Yanga huku nikipiga mayowe nyuma ya goli la Barthez Yanga 1-0 Azam/Simba

ndo umejitokeza ulikuwa wapi??????????????????????????????????????????????????????
 
Salum Abdulbakar wa AZAM ni Mtoto wa Abdulbakar Salum (Sure-Boy) Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Pia Kocha wa

Timu ya Vijana Wa Yanga... Kwanini Yanga wasimchukue huyu Salum Abdulbakar - Sure Boy? Ni HARARI Haswa
 
BTW we are best team ever in tz

ona goli la pili uzembe tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…