CDM tuwe makini! KUPIGWA CUF kwenye MAANDAMANO ni mkakati dhidi yetu

Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa maandamano na kupigwa wana chadema.

Nyie mnaonaje?

Mkuu,

Jitetee kwa hoja baada ya kusoma mchango wa Kings of Kings #13.

Naona amefanya kazi nzuri tu ya kulipapatua gamba ulilojivisha.. au???
Leta hoja zako na zipange kwa umakini!!
 
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa maandamano na kupigwa wana chadema.

Nyie mnaonaje?

Binafsi naona maandamano CUF yalikuwa hayana msingi wowote kufanyika, rasimu ya katiba haikuhitaji maandamano ndo ifike wizarani, inatakiwa vitu vingine tuwe tunaangalia na si kukurupuka tu. Serikali ikigoma kufanya mabadiliko au kupokea hiyo rasimu ya katiba mpya ndo tuandamane
Na ndo sababu hayakuungwa mkono na wengi
Bei ya umeme imepanda, dowans kulipa fidia vinahitaji maandamano
 
binafsi naona maandamano cuf yalikuwa hayana msingi wowote kufanyika, rasimu ya katiba haikuhitaji maandamano ndo ifike wizarani, inatakiwa vitu vingine tuwe tunaangalia na si kukurupuka tu. Serikali ikigoma kufanya mabadiliko au kupokea hiyo rasimu ya katiba mpya ndo tuandamane
na ndo sababu hayakuungwa mkono na wengi
bei ya umeme imepanda, dowans kulipa fidia vinahitaji maandamano

hao ndio ngangari wapinzani wa kweli!! Hembu chadema wasubutu kufanya maandamano! Katu hawawezi kwani ni waoga kama fisi na katu hawawezi kuleta mabadiliko yoyote tz kwasababu hawana dhamira ya kweli ya kuwaletea mabadiliko ya kweli wa tz!!!!
 
Back
Top Bottom