HAMAD RASHID-GOGORO, CUF-MASLAHI NA CCM-UFISADI MJUE FIKA USALAMA WA NCHI YETU UNAYUMBISHWA NA 'MUAFAKA WA MASLAHI BINAFSI' YA VYEO NA KUJIUNGA KULE NA NGURUWE KULA MABUA NA UFISADI
ULIOKITHIRI NCHINI
Jamani kuna uwezekano Wa-Tanzania tukawa na tofauti nyingi tu nchini zikiwemo zile za kitamaduni, kiimani, kijinsia na kadhalika lakini matatizo yanayotuhatarishia amani nchini, Wakristo kwa Waislmu na kote Bara na Visiwani ni zile zile!!
Nasema matatizo ya kusisitizwa tu AMANI na kufichwa kule kwa HAKI kwa raia ni chanzo cha matatizo kibao yanayotukaba kila siku nchini kama vile: (1) UFISADI uliokithiri ndani ya serikali ya CCM yatuathiri sote, (2) Muafaka wa CUF kujiunga na CCM kula mabua kwa pamoja na kuwaacha wananchi solemba kwenye umasikini wa kutupwa ni letu sote.
Kama haitoshi, pia (3) Utaratibu wa Serikali ya Muungano usiona tija, na fursa sawa wa moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida, (4) ukosefu wa ajira, (5) elimu duni, (6) Maisha kupanda gharama kila kukicha ni letu sote hivyo kwa hali ya kawaida kabisa Mtanzania hahitaji KAMPENI ZA KUTIANA HOFU pale tunapojiunga kama taifa kujikomboa kwa kudai haki zaidi na Katiba Mpya nchini!!!
... hatuwe kujua vizuri; wenzetu wa CCM na CUF waulizwe vizuri juu ya hilo jambo wanaloliona peke yao tu hapa nchini kuhusu usalama kutetereshwa ambalo sisi wengine hatulion.
Lakini kama kudai HAKI SAWA NA MASLAHI KWA UMMA wa Tanzania ndicho hasa kile kinachowakosesha amani wale MAFISADI walioko serikalini na kuitwa KUHATARISHA USALAMA WA NCHI na basi CHADEMA kazeni mwendo mdundo kwa sana tu.
Wa-Tanzania tunaakili sana kote Bara na Visiwani na pia tunafahamu fika kwamba wale wanaoingia muafakaka na serikali ya CCM gizani kwa maslahi binafsi ya kupata vyeo, mijumba, na mashamba ndio hasa wanaoHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU.
Ndugu zetu akina Hamad Rashid, CUF-Maslahi na CCM-Ufisadi, acheni mara moja kuchezea akili za Mtanzania wa leo kote Bara na Visiwani tunasema kwamba Hatudanganyiki wala Hatugawanyiki kwenye Kutafuta Maslahi yetu kama Umma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wewe umepata hicho kikombe!Wahi haraka sana Loliondo kwa babu ukapate Kikombe.
Mimi nadhani kabla ya kuangalia nani kati ya cuf na cdm ni mvuruga amani, pia tuangalie na utawala uliokuwepo kipindi kile na huu wa sasa. Maana na watawala nao wanachangia hivi vyama kuvuruga amani iliyopo.Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa maandamano ya amani ya CHADEMA ambapo hamna hata mtu aliyejikwaa wakiita ni uvurugaji wa amani,Je kipindi hicho walikuwa wakistawisha amani?
Pia naomba mnisaidie kuna baadhi ya maneno ambayo ya uchochezi yaliyokuwa yakitumiwa kuhamasisha mimi nazoona vurugu, kama vile:
1.JINO KWA JINO
2."NGANGARI"
3...................
Naomba mtukumbushe km mnayakumbuka maneno mengine yaliyotumiwa kipindi kile na tuyaoanishe na ya CDM ambayo mimi sijayasikia bado (labda nitakuwa sio mfuatiliaji mzuri kwa sasa) ili tujiridhishe, je ni nani mvurugaji amani kati ya CDM na CUF
Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa maandamano ya amani ya CHADEMA ambapo hamna hata mtu aliyejikwaa wakiita ni uvurugaji wa amani,Je kipindi hicho walikuwa wakistawisha amani?
Pia naomba mnisaidie kuna baadhi ya maneno ambayo ya uchochezi yaliyokuwa yakitumiwa kuhamasisha mimi nazoona vurugu, kama vile:
1."JINO KWA JINO"
2."NGANGARI"
3...................
Naomba mtukumbushe km mnayakumbuka maneno mengine yaliyotumiwa kipindi kile na tuyaoanishe na ya CDM ambayo mimi sijayasikia bado (labda nitakuwa sio mfuatiliaji mzuri kwa sasa) ili tujiridhishe, je ni nani mvurugaji amani kati ya CDM na CUF
Taqbiiiiiiir.......(I saw and hear this with my own eyes and hears kwenye camapign za mwaka 2000)
Kati ya cuf na cdm; wazuruga amani kwa mujibu wa hoja zako ulizozilaza hapa jamvini ni cuf!!!
Kama ni hivyo mwambie na Rashid Hamad akimbilie huko mapema.Wahi haraka sana Loliondo kwa babu ukapate Kikombe.
Yan watanzania mna visaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, haya sasa lini CUF walilpinga maandamano ya CDM? Mbona hata CDM walipopigwa arusha niliwasikia CUF wakitoa tamko zito la kuilaumu serikali na CCM na hadi wakasema IGP anatumika kukandamiza demo ndani ya tanzania?
ushabikiiii tu humuuuu lakini wenye akili tunaona na tunajua na hatupaswi kufundishwa.
Kama ni hivyo mwambie na Rashid Hamad akimbilie huko mapema.
Post namba moja ni ya kweli. Vurugu ni sehemu ya maisha ya CUF! Nilikuwa ndani ya CUF na tulifundishwa kufanya vurugu na hata tulifundishwa karate ili tupambane na Polisi! Sasa mimi siko huko tena na amani ni agenda yangu kuu. Tena amani ya kweli kwa watanzania walio katika amani ya uchumi na afya.
As the same! Hakuna tofauti hata chembe,... unapozisikia kauli kama "kama Libya!, Kama Egypt! Kama Tunisia!"Je kule Arusha wale walipakwa mafuta? Hivi Watanzania mbona tunapopenda vitu tunakuwa wasahaulifu? kama unaweza kukumbuka mambo ya mwongo uliopita unashindwaje kujua mambo ya mwongo uliomo? Basi hata kama tunapenda kitu au kutaka kukipamba tuwe wakweli pia kwa mustakabali wa Tanzania... Historia itatuhukumu.Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa maandamano ya amani ya CHADEMA ambapo hamna hata mtu aliyejikwaa wakiita ni uvurugaji wa amani,Je kipindi hicho walikuwa wakistawisha amani?
Pia naomba mnisaidie kuna baadhi ya maneno ambayo ya uchochezi yaliyokuwa yakitumiwa kuhamasisha mimi nazoona vurugu, kama vile:
1.JINO KWA JINO
2."NGANGARI"
3...................
Naomba mtukumbushe km mnayakumbuka maneno mengine yaliyotumiwa kipindi kile na tuyaoanishe na ya CDM ambayo mimi sijayasikia bado (labda nitakuwa sio mfuatiliaji mzuri kwa sasa) ili tujiridhishe, je ni nani mvurugaji amani kati ya CDM na CUF