Mi nadhani wangetulia dodoma waipitie hotuba ya bajeti, waichambue waifanyie group discussion ili kila mtu awe nondo sawa na mwenzake. Na kurudi iringa, sijaipenda nadhani wangerudi kule walikoahirisha op okoa kusini ingekuwa njema. Iringa chadema siyo pa kutumia nguvu, mchungaji anatosha kabisa