CDM kuvuna wanachama wa vyama vingine ni akili au matope?

kwa huyu jamaa ukiwa ccm basi we usid hajui ndugu jamaa na marafiki zake wengine wapo ccm.hajui kazi ya chadema kuzunguka nchi nzima ni kutafuta skirepa za kutengenezea nondo za kujengea ghorofa ambayo ndio tanzania.
 
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))



Kumbuka kuwa kujiunga na kitu ni lazima uwe umehamasika kufanya hivyo. Hawa walio katika CCM na vyama vingine ni watu ambao chaji yao ya siasa ipo juu. Yaani kama ni balbu basi inawaka wati 100. Katika hao milioni 45, kuna watu ambao chaji yao ya siasa inawaka kibatari. Wanasubiri maamuzi yafanywe na hizo balbu za wati 100, na wao watakubaliana tu na vyovyote itavyokuwa. Yaani unachokiona ni kwamba Chadema inapokea watu ambao tayari ni politically active. Wanataka kushiriki katika mabadiliko. Hao wengine watakubaliana tu na mtokeo. Wala usitie shaka. Hakuna tatizo katika hili.
 
hv kwani CDM kuna marketing manager ambae anafanya kazi ya kwenda kushawishi wa2? jaribu kufikirisha ubongo wako twice kabla hujaanzisha thread.
 
Back
Top Bottom