CDM kumekucha ndani ya Mwanza Kata ya Kirumba.

...mweshiwa Zitto asema "1.mtu atakaye ipigia kura CCM atakuwa amekubaliana na ufisadi,mfumko wa bei 2.kapigeni kura kuikataa CCM ili kuitumia salam serikali kuwa atukubaliani hayo mambo...
 
...Zitto "kutokana na kila siku habari za ufisadi zinakuwa ktk vyombo vya habari,tujue kuwa watoto wetu wanakuwa ktk hali ya kuusikia ufisadi! ufisadi! ufisadi!...ipo siku uko mbelea wanaweza kujua nchi yao inatwa "UFISADISTAN",kama vile Pakistan,Uzebekistan nk...
 
...Zitto..."mimi nimezaliwa ktk familia masikin na mama yangu ni mlemavu,nimesoma na mtoto wa mkuu wa mkoa darasa moja,tulishindana kwa akili lakini leo watoto wa masikin na matajiri hawawezi kukutana na wamasikini coz watoto wa maskini wako ktk shule za kata na watoto wa matajiri wako ktk shule zenye walimu,vifaa na mazingila mazuri zinazojulikama kama Intenation school aka "AKADEMI"(isome hivyo hivyo)...
 
...aliyekuwa mgombea wa CUF kata ya Sangabue 2010 ajiunga na Chadema,amekabidhiwa kadi na Zitto...
 
Hadi mtakapoacha ufisadi ndipo tutabadili DvD.
Fedha ya ufisadi hamna uchungu nayo mnaitumia hovyo hata mapokezi ya Lipumba mmetengeneza mabango mengi kuliko mliyotengeneza wakati wa uchaguzi mkuu!

sawa tumekusikia ..hii single imesha expire..

Vipi mili.19 za feasibility study umeshapewa mrejesho?

Vipi ile gari chakavu mliyouziwa na mbowe kwa bei ya juu kabisa? inaitwaje? ufilisi au ufisadi?

Vipi ule mradi wa ccbrt slaa amekudokeza, ok mke wa mtu ni mambo binafsi (a.k.a ufisadi binafsi)..

mnachongea ni tofauti na mnacho practice
 
...mkutano umeisha...kama utakuwa umenfuatilia kwa makini tangu mwanzo nakuletea habari hii "LIVE" kutoka ktk viwanja vya Magome Kirumba,sijaandika ni watu kiasi gani wameoudhulia mkutano huu wa uzinduzi wa kampeni za udiwani wa mgombe wa Chadema,nakuachia na wewe ufuatilie kwenye vyombo vya habari vitakavyo tendea haki tukio hili lilotokea hapa ktk viwanja vya Magomeni Kirumba Mwanza...nikilipoti kutoka ktk viwanja vya Magomeni Kirumba Mwanza ni mimi mwana-janvi SABUNG'ORI MANG'ANG'A wa JF Mwanza...
(Up date) habari iliyotolewa na gari la matangoza lilokuwa ktk mkutao huu zinasema kuwa "tarehe 18/03/2012 dr wa ukweli(Slaa) anatarajiwa kuwa hapa Mwanza kwaajili ya kampeni hizi za udiwani...
 
sawa tumekusikia ..hii single imesha expire..

Vipi mili.19 za feasibility study umeshapewa mrejesho?

Vipi ile gari chakavu mliyouziwa na mbowe kwa bei ya juu kabisa? inaitwaje? ufilisi au ufisadi?

Vipi ule mradi wa ccbrt slaa amekudokeza, ok mke wa mtu ni mambo binafsi (a.k.a ufisadi binafsi)..

mnachongea ni tofauti na mnacho practice

Ha ha haa,
Nilijua tu lazima utatoka pangoni. Karibu vijibweni tuone pumzi yako najua kirumba hujatia timu!
 
Ha ha haa,
Nilijua tu lazima utatoka pangoni. Karibu vijibweni tuone pumzi yako najua kirumba hujatia timu!

Vijibweni nilikuwepo huko juzi..vipi ile feasibility study, aliyofanya aweda imelipa..

Aweda kundi la kupata 10mil. si haba kwa jamaa yangu kutoka mbulu a.k.a slaa mtoto

mjiaandae kuwahonga 200,000/- kila kura halafu muishie na kura za uzini ..

anyway wahi upate mgawo au hauko kwenye kundi la kupata..lol
 
Ni kawaida ya CDM kuchakachua picha...hii inadhihirisha

ni kweli uwanja wa magomeni kirumba ulikuwa na watu wengi sana hiyo picha na wasiwasi nayo nina picha nyingi ila sijui kuzipost hapa jf na maandamano ya mh. zito airport mwanza kipindi pale zitto anawatoroka wana cdm kuwahi ndege
 
Vijibweni nilikuwepo huko juzi..vipi ile feasibility study, aliyofanya aweda imelipa..

Aweda kundi la kupata 10mil. si haba kwa jamaa yangu kutoka mbulu a.k.a slaa mtoto

mjiaandae kuwahonga 200,000/- kila kura halafu muishie na kura za uzini ..

anyway wahi upate mgawo au hauko kwenye kundi la kupata..lol

Kama ulikuwepo vijibweni ndani ya khanga ya kijani hapo ninaweza kukuelwa lakini kama bado unaitumikia cuf, mnapoteza muda vijibweni.
Mimi huwa nipo mahali popote chama changu kinapofanya kazi, ijumaa nilikuwepo vijibweni wakati tukizindua kampeni na wala sihitaji posho kama wewe ulivyo na njaa zako unang'ang'ania cuf kwakuwa unajipatia ugali wa watoto.

Sijaona chochote cha maana mnachofanya vijibweni, sijui ndio mnapanga mipango kwa kushirikiana na ccm kwakuwa wote hali zenu tete!!
 
Back
Top Bottom