CDF toa tamko bado mapema

Cyclopedia

Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
25
Reaction score
41
Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
 
Tamko la nini?
alishatoa tamko tarehe 30 October kuwa wahuni waminywe pumbu.
Hapa tunasuburi kukuche tukuminye pumbu.
 
Tamko la nini?
alishatoa tamko tarehe 30 October kuwa wahuni waminywe pumbu.
Hapa tunasuburi kukuche tukuminye pumbu.

Naona payroll ya mwezi huu imeshaingia umeanza tena kutetea udhalimu maana kuna kipindi hapa katikati ulibadilisha gia angani

Hivi watoto wako (kama unao) wanajua kwamba hiki ndo unachofanya huku mtandaoni ili uwapeleke chalula mezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…