bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,411
- 743
Ukifika dodoma kama unahitaji kujenga kuna hawa jamaaa wanaitwa mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma,hapa kupata kiwanja ni issue,kupata kibali cha ujenzi ndio mmh balaaaaaaaaaaa,hati sasa ndio aibu cda wanatia kinyaaa kwa ujenzi wa dodoma miaka miwili sasa hakuna uuzwaji wa viwanja bora ivunjwe..........................