CDA Dodoma ni mzigo na full rushwa...

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Ukifika dodoma kama unahitaji kujenga kuna hawa jamaaa wanaitwa mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma,hapa kupata kiwanja ni issue,kupata kibali cha ujenzi ndio mmh balaaaaaaaaaaa,hati sasa ndio aibu cda wanatia kinyaaa kwa ujenzi wa dodoma miaka miwili sasa hakuna uuzwaji wa viwanja bora ivunjwe..........................
 
can you explain more? kwani habari yako iko very bias. yaani wakatae tu kuuza. hivi wao nimataahira? Let thread yenye tangible ideas either kwa kutupa nafasi ya kuchangia au kutujuza au ya kuuliza swali kama hujui.
 
tatizo yote hayo aliyatengeneza mzee wa rushwa kimyakimya mr 6 kipindi alipokuwa boss wa wizara iliyokuwa inahusika na cda
 
Back
Top Bottom