CDA-DODOMA kwa maslahi ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDA-DODOMA kwa maslahi ya nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by othorong'ong'o, Feb 1, 2011.

 1. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  wadau,kitu ambacho kila siku najiuliza bila kupata majibu ni kazi ya CDA,yaani hawa watu hakuna chochote wanachokifanya labda hawajui maana ya USTAWIASHAJI,hebu angalia:1.Stendi kuu ya mabasi-stendi ya mkoa utafikiri eneo ambako wanajeshi wmechimba mahndaki kwa ajili ya mazoezi.,2 tendi ya daladala ya jamatini ndo usiseme.,3 viwanja havigawanywi kwa muda yaani ni rahisi na kwa haraka kujenga Dar es salaam kuliko Dodoma.,4 ofisi zao zina samani za bei za juu,na ukiingia reception utakutana na Tv kubwa yenye channels zaidi ya 40 utafikiri umfika hotelini,magari ndo usiseme wanayo ya kila aina 5.,mkurugenzi wao nasikia amekaribia kustaafu hivyo muda mwingi anatumia kutafuta kazi nyingine ya USTAWISHAJI MAKAO MAKUU ameachana nayo
   
 2. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuandamane tumtoe kabla hajastaafu huyo mkurugenzi.

  Kiukweli inatia aibu, hawa CDA hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuuza na kukusanya kodi za viwanja, bora ingekuwa halmashauri ya kawaida kuliko kupewa jina la heshima halafu hakuna cha tofauti.

  Sielewi hasa tatizo liko wap C.D.A, ni watendaji wasiweza kubuni na kutekeleza miradi??? au ni uzembe wa mkurugenzi wa CDA, au budget yao huwa haipitishwi???:roll::roll::roll::roll::roll::roll:
   
 3. GY

  GY JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mamlaka ya Ustawishaji (miti) makao makuu
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo siyo CDA pekee, lakini dhana nzima ya ujenzi wa makao makuu Dodoma. Katika mambo yanayochangia kwenye matumizi makubwa ya serikali na hilo ni mojawapo; tuchukue mfano wa ofisi ya waziri mkuu, inasemekana kuwa ilihamia Dodoma miaka mingi iliyopita, lakini watendaji wakuu wa ofisi hiyo, akiwemo waziri mkuu mwenyewe, karibu wakati wote wako Dar.; kwakuwa wanapokuwa Dar wanahesabika kuwa nje ya kituo chao cha kazi hulipwa posho,jambo ambalo ;linaongeza gharama. Na sio hao tu; wakati wa bunge watendaji wengi huamia Dodoma ambapo fedha nyingi za serikali hutumika kwa usafiri na kujikimu
   
 5. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  CDA ni kwa ajili ya kula fedha za nchi. Haina kazi yoyote. Binafsi nimewahi kumwandikia raisi barua kwamba hatuitaki CDA. Lakini wameweka pamba masikioni na hawasikii. Ipo siku.
   
Loading...