Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop *
Aisehh usinikumbushe lost ilikuwa inanifanya nikeshe kuitazamaMara ya mwisho kutumia deki ilikuwa 2009 kipindi icho maseries ya prison break,24 na lost ndio yamepamba moto
Hahahaaa*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop *
Hiyo pc ilizimika baada ya umeme kukatika na ikiwakaje pasipo kuwashwa.Maana jamaa alichomeka adapter tu so nashindwa kuelewa iliwezaje kuwaka yenyewe?Na haikuwa hibernated wala loged off...Any technical answer?Kuna mshikaji aliazima PC ya mtu chuoni kwa ajili ya kuandika report yake ya field, sasa kaweka porn , mara Umeme ukakata PC yake haitunzi moto ikazima
Umeme umerudi jamaa anaenda kuchomeka adapter kwenye moto, huku nyuma PC yake kuna watu wanaiona wanamshangaa jamaa kadri anavyotembea kurudi kwenye seat yake anakuta kuna porn inaendelea na watu wanaishangaa porn kuwekwa library.
We PC yako ikizima bila kuzimwa ukiweka kwenye umeme haiwaki?Hiyo pc ilizimika baada ya umeme kukatika na ikiwakaje pasipo kuwashwa.Maana jamaa alichomeka adapter tu so nashindwa kuelewa iliwezaje kuwaka yenyewe?Na haikuwa hibernated wala loged off...Any technical answer?
Samahani nilisahau kuwa nipo kwenye jukwaa la vchksh.We PC yako ikizima bila kuzimwa ukiweka kwenye umeme haiwaki?
Me niliwekaga cd ya x kipindi hicho umeme ukikata ni masaa yasiyopungua manane ndo unaludi ilibidi nifungue deki japo ufundi sikua na idea
Hahahaaaaa sawa bhanaSamahani nilisahau kuwa nipo kwenye jukwaa la vchksh.
Halafu PC ina kitundu cha manual kufungulia mlango wa CD kwa piniHahahaaaaa sawa bhana
PC haitoi CD kama haijawaka(umeme hauingii)Halafu PC ina kitundu cha manual kufungulia mlango wa CD kwa pini
Wacha tucheke tu
PC haitoi CD kama haijawaka(umeme hauingii)