CD YA "X"

CD YA "X"

Nakumbuka kuna mshikaji wangu tupo mwanza umeme ulkatka halafu kulikuwa na CD ya X kwenye deki mbaya zaid akasahau kama aliacha CD kwenye deki kwa bahati mbaya jion baba ake kaja katengewa chakula akamwomba dogo alkuwa pembeni amwashie TV kilichotokea hapo nafikir mnaelewa washua jinsi walivyo.......!!!!!!
Kichapo cha mbwa mwitu
 
Back
Top Bottom