Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,124
kutokana na hali ya usalama kuwa ya mashaka ama kutotabirika nashauri kwenye mikusanyiko.
1.chadema watumie kamera za CCTV kwenye mikutano yao ili ziwe zinasaidia kutoa ulinzi na kubaini waharifu.
2.magari ya viongozi wote wakubwa wa chadema yafungwe kamera hizi
3.makao makuu pia sasa wafunge kamera hizi na pote watakapokuwa viongozi wakuu.
USHAURI HUU PIA UTUMIWE NA KWENYE MIKUSANYIKO YOTE MIKUBWA IWE KANISANI,MSIKITINI,VIWANJA VYA MPIRA.na katika maeneo yenye watu wengi ikiwemo POSTA NA KARIAKOO NA HATA KWENYE BARABARA ZA MJINI.
hii itasaidia kuongeza ulinzi na kuwabaini wanaohusika na uhalifu mbaya ambapo tusipochukua hatua za haraka taifa hili litaingia hofu mda wote.
KAMERA HIZI ZINAUWEZO MKUBWA WA KUREKODI VIDEO MASAA 24.