CCTV kamera(closed circuit camera television),ZITUMIKE CHADEMA

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
kutokana na hali ya usalama kuwa ya mashaka ama kutotabirika nashauri kwenye mikusanyiko.
1.chadema watumie kamera za CCTV kwenye mikutano yao ili ziwe zinasaidia kutoa ulinzi na kubaini waharifu.
2.magari ya viongozi wote wakubwa wa chadema yafungwe kamera hizi
3.makao makuu pia sasa wafunge kamera hizi na pote watakapokuwa viongozi wakuu.
USHAURI HUU PIA UTUMIWE NA KWENYE MIKUSANYIKO YOTE MIKUBWA IWE KANISANI,MSIKITINI,VIWANJA VYA MPIRA.na katika maeneo yenye watu wengi ikiwemo POSTA NA KARIAKOO NA HATA KWENYE BARABARA ZA MJINI.
hii itasaidia kuongeza ulinzi na kuwabaini wanaohusika na uhalifu mbaya ambapo tusipochukua hatua za haraka taifa hili litaingia hofu mda wote.
KAMERA HIZI ZINAUWEZO MKUBWA WA KUREKODI VIDEO MASAA 24.
 
Taarifa zilidai kuwa kuna mtu alionekana akirusha kitu kinachodaiwa bomu kwenye eneo la jukwaa karibu na gari la matangazo la chama hicho, lakini alipokuwa akifuatiliwa baada ya kutokea mlipuko huo, polisi nao walikuwa wameanza kudhibiti watu kwa kulipua mabomu ya kutoa machozi na kupiga risasi za moto hali iliyozidisha taharuki.
 
naamini polisi wasinge piga mabomu....Dogo agenaswa fasta na Wananchi
 
Tanzania si salama kwa sasa, serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake, viongozi wa ccm wamekuwa hawagusiki kwa uovu wowote wanaoupanga, jana nchi nzima wafuasi wa upinzani hususani Chadema wamepigwa na kuumizwa vibaya sana! Viongozi wa chadema wasipokuwa makini mwigulu atawamaliza!!
 
tutaogopa kujikusanya kwenye mikusanyiko, nauamini usalama wa cdm utafanya kazi kuweza kutupa ukweli, maana kitendo cha polisi kuanza kupiga risasi na mabomu kina walakini.
 
Yawezekana wanamnusuru mlipuaji asikamatwe au walitaka kuua. Tuna maswali mengi ya kujiuliza.
 
(1) Mimi kama mwanachama wa Chadema na nikiwa mtaalamu wa SECURITY SYSTEMS ZOTE-INTRUDER ALARMS, CCTV, FIRE ALARMS, ACCESS CONTROLS AND ALL SORTS OF LOGICS, niko tayari kusaidia chama ktk hili na from tommorrow i'll consult officials for the matter. (2) Ninaamini polisi Arusha walikuwa aware na jambo lile. Haiwezekani bomu lilipuke halafu polisi waanze kupiga mabomu ya machozi kudhibiti watu waliotaharuki, haiwezekaniii!!. Ule mkutano ulikuwa mkubwa na polisi lazima walikuwa wengi, kwa nini badala ya kutoa msaada mao wapige mabomu ya machozi? Anyway, too many queries..... .........!
 
Itakuwa vema sana kusaidia chama.

SWALI LA MSINGI NI KWA NINI POLISI WASICHUKUE TAHADHARI YA KUOKOA WATU NA KUMTAFUTA MLIPUAJI WAKATTI TUKIO LINATOKEA?
JE KURUSHA BOMU LA MACHOZI KWENYE AJALI YOYOTE AU JANGA LOLOTE NI NJIA SAHIHI YA UKOAJI?
MIMI SI MWANASHERIA, LAKINI CLUES HIZO ZAWEZA KUWATIA DOA POLICCM, AMA WAO NA KAMANDA WAO MWEMA WAMEISHIWA WELEDI KATIKA KAZI YAO. SHAME ON YOU POLICCM.
 
(1) Mimi kama mwanachama wa Chadema na nikiwa mtaalamu wa SECURITY SYSTEMS ZOTE-INTRUDER ALARMS, CCTV, FIRE ALARMS, ACCESS CONTROLS AND ALL SORTS OF LOGICS, niko tayari kusaidia chama ktk hili na from tommorrow i'll consult officials for the matter. (2) Ninaamini polisi Arusha walikuwa aware na jambo lile. Haiwezekani bomu lilipuke halafu polisi waanze kupiga mabomu ya machozi kudhibiti watu waliotaharuki, haiwezekaniii!!. Ule mkutano ulikuwa mkubwa na polisi lazima walikuwa wengi, kwa nini badala ya kutoa msaada mao wapige mabomu ya machozi? Anyway, too many queries..... .........!

Hongera kwa uamuzi wako mzuri.
Kwa hali ilivyo sasa ni vizuri kuwa na teknolojia pamoja na kuzitumia ili kutoa utata wa hali halisi inavyofanyiwa kazi.
 
(1) Mimi kama mwanachama wa Chadema na nikiwa mtaalamu wa SECURITY SYSTEMS ZOTE-INTRUDER ALARMS, CCTV, FIRE ALARMS, ACCESS CONTROLS AND ALL SORTS OF LOGICS, niko tayari kusaidia chama ktk hili na from tommorrow i'll consult officials for the matter. (2) Ninaamini polisi Arusha walikuwa aware na jambo lile. Haiwezekani bomu lilipuke halafu polisi waanze kupiga mabomu ya machozi kudhibiti watu waliotaharuki, haiwezekaniii!!. Ule mkutano ulikuwa mkubwa na polisi lazima walikuwa wengi, kwa nini badala ya kutoa msaada mao wapige mabomu ya machozi? Anyway, too many queries..... .........!

Hata mimi pia nipo tayari kuwapa support kwenye hili swala technically kuhusiana na CCTV,zipo stand alone camera ambazo ni rahisi kuziconfigure na ni movable na ni wireless kuazia DVR,Router na pia mega pixel nikubwa za kuweza kuzoom kuanzia mt 0 mpaka mt 1500 na kuendelea
 
That the best solution for the time being lakini pia inatubidi tuangalie means nyinginezo
 
gharama ya hizo cctv cameras....... ni kubwa mno. uwezo wetu bado mdogo. ni kama kuuliza kwa nini hapa dar kila mtu haishi maisha ya masaki? hiyo ni hatua ya ulaya. makao makuu ya chdm kufunga cctv ni rahisi lkn kwenye mkutano wa hadhara ni kazi ya gharama kubwa ukilizingatia kila mkutano lazima zifungwe. kufunga mitaa yote ya posta na kkoo ni gharama kubwa sn. anyway penye nia pana njia. labda inawezekana!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom