Hata ukiweka nyumbani,kila chumba ni safi sana,ukirudi unaona vituko vya housegirl wako
teaching and learning haiwi natural mwalimu anaweza kumsifia mkurugenzi au mkuu wa shule badala ya kufundisha
Mimi nafundisha shule moja hapa Dsm ni kweli hizo camera zipo kila darasa ila si hiyo inayotangazwa redioni. Ni kweli inatunyima uhuru
Na mkeo itakuwa hivyo hivyoHousegirl akiingiza mchepuko unamuona, hadi aina ya kondom alotumia unaiona,teheee
kumbaini montress wa kipigo
Bila shaka wewe ni mmoja wa wale waalimu wachache wanaotuharibia watoto kwa kuwafanyia vitu vichafu madarasani. Kwa nini uogope uwazi?Kuna tangazo moja la shule nimesikia redioni kuwa kila darasa limefungwa cctv camera.
Mimi kwa mtazamo wangu hii ni kuingilia uhuru wa walimu na wanafunzi wao wakiwa darasani au hata wanafunzi wenyewe tu.
Je, hii iko sawa wadau wa elimu?
Kuna baadhi yenu mnachapa watoto wa wenzenu,kama vile hamna watoto wala uchungu nao.....ziwekwe tu,hii itapunguza uonevu ....hata kwa wanafunzi wanaopigana wenyewe kwa wenyewe wakijua wanaonwa hawatafanya upuuzi......eti inakunyima uhuru,uhuru gani unaotaka?.....hivi kama unafuata ethics....una la kuhofia???
Acheni uoga! Its good decision, inasaidia sana ulinzi wa watoto na Mali zao na kuangalia ufundishaji wa mwalimu!
Mweee hapo patamu anavyojaribisha nguo zako na kuvua cctv home ni kujipa bp.