NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,897 Feb 22, 2023 #21 Naona kapondwa ukutani pale.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,381 Feb 23, 2023 #22 Mkiipata ya Area D. Mniiite
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #23 moesy said: Mbona unarudia wakati imeshawekwa humu. Click to expand... Soma tena kichwa cha habari
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #24 RAYMANU254 said: Hivi hili tukio Ni la kweli kabisa? Click to expand... Yeah ni halisi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #25 moyo wa bilionea said: huyu baba aliyekuwa anatembea amesalimika kweli. Click to expand... Sidhani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #26 GenuineMan said: Mkiipata ya Area D. Mniiite Click to expand... Itapatikana tuu
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,008 Feb 23, 2023 #27 lost cousin said: Alisalimika kweli yule jamaa alikutana na lile basi?Mungu awaponye aisee Click to expand... Attachments VID-20230222-WA0022.mp4 12.4 MB
lost cousin said: Alisalimika kweli yule jamaa alikutana na lile basi?Mungu awaponye aisee Click to expand...
KASULI JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 599 Reaction score 680 Feb 23, 2023 #28 Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee
Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 2,099 Reaction score 4,802 Feb 23, 2023 #29 GenuineMan said: Mkiipata ya Area D. Mniiite Click to expand... Wakikuita unanishtua na mimi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #30 Askari anasema hakuna kifo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #31
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,008 Feb 23, 2023 #32 Mshana Jr said: Askari anasema hakuna kifo Click to expand... Hii ni athari ya kuandika report ya kazi akiwa anakunywa mtori. Anaandika kile alichosikia kwa wenzie sio alichoshuhudia. Huwa tunaingizwa mkenge mambo mengi sana.
Mshana Jr said: Askari anasema hakuna kifo Click to expand... Hii ni athari ya kuandika report ya kazi akiwa anakunywa mtori. Anaandika kile alichosikia kwa wenzie sio alichoshuhudia. Huwa tunaingizwa mkenge mambo mengi sana.
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,008 Feb 23, 2023 #33 engineer7339550 said: Kwanza pole Kwa wote lakini kila nikikumbuka mwamba aliyechanja mbuga natan kucheka duh Click to expand... Inasidikika keshafika mikumi na bado anachanja mbuga. Break ya kwanza njombe🤣🤣🤣
engineer7339550 said: Kwanza pole Kwa wote lakini kila nikikumbuka mwamba aliyechanja mbuga natan kucheka duh Click to expand... Inasidikika keshafika mikumi na bado anachanja mbuga. Break ya kwanza njombe🤣🤣🤣
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #34 KASULI said: Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee Click to expand... Inatisha mno.. Naona mtandaoni haipo
KASULI said: Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee Click to expand... Inatisha mno.. Naona mtandaoni haipo
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,947 Reaction score 102,722 Feb 23, 2023 #35 KASULI said: Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee Click to expand... Hakuna footage inayoonesha akichinjwa, bali kuna footage inayoonesha akiingia ubalozini
KASULI said: Mwenye ilee footage ya Kashogy yule mwandishi wa habari Akichinjwaa an dm please, nlkuwa nayo ilaa bahatii bayaa nkaibiwaa Simu aisee Click to expand... Hakuna footage inayoonesha akichinjwa, bali kuna footage inayoonesha akiingia ubalozini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,541 Feb 23, 2023 Thread starter #36 Toxic Concotion said: Inasidikika keshafika mikumi na bado anachanja mbuga. Break ya kwanza njombe Click to expand... Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukio Your browser is not able to display this video.
Toxic Concotion said: Inasidikika keshafika mikumi na bado anachanja mbuga. Break ya kwanza njombe Click to expand... Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukio Your browser is not able to display this video.
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,123 Feb 23, 2023 #37 Mshana Jr said: Kwa ombi la mkuu Faana kuwa na mada maalum ya matukio ya cctv kcameras hasa ukizingatia tukio la leo asubuhi ambalo kama sio playback ya hilo tukio.. Polisi mhusika angetuingiza chakaView attachment 2526893 Click to expand... Daah. KIFO ni fumbo sana. Jamaa alikua anapita zake wala hana tabu na mtu
Mshana Jr said: Kwa ombi la mkuu Faana kuwa na mada maalum ya matukio ya cctv kcameras hasa ukizingatia tukio la leo asubuhi ambalo kama sio playback ya hilo tukio.. Polisi mhusika angetuingiza chakaView attachment 2526893 Click to expand... Daah. KIFO ni fumbo sana. Jamaa alikua anapita zake wala hana tabu na mtu
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Feb 23, 2023 #38 Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Hao wachungaji wa Njombe wasiishie kuwaombea hao akina dada, waende wakapaombee hapo walipoganda yawezekana palivunjiwa nazi kama ilivyo pwani
Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Hao wachungaji wa Njombe wasiishie kuwaombea hao akina dada, waende wakapaombee hapo walipoganda yawezekana palivunjiwa nazi kama ilivyo pwani
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Feb 23, 2023 #39 Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Uandishi wa huyu Askari aliyeripoti ajali ya Mwendokasi itabidi arudi shule Mtembea kwa miguu itakuwa kafariki www.jamiiforums.com
Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Uandishi wa huyu Askari aliyeripoti ajali ya Mwendokasi itabidi arudi shule Mtembea kwa miguu itakuwa kafariki www.jamiiforums.com
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Feb 23, 2023 #40 Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Huyu afande ni kama anatangaza mechi au pambano la masumbwi
Mshana Jr said: Akakutane na hawa ... Nimecheka kiama namna huyu askari alivyoripoti hili tukioView attachment 2527124 Click to expand... Huyu afande ni kama anatangaza mechi au pambano la masumbwi