Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
CT-P721 ni CCTV camera za kisasa wireless ambazo zinafanya kazi na simu ANDROID na IPHONE.
Una uwezo wa kuifunga sehemu unayoitaka kama ofisini,nyumbani,apartment,hotelini au guest house eneo la reception au parking na ukawa unafatilia kinachoendelea kwa kutumia simu yako unastream live eneo lile,hapa kinachozingatia ni eneo ulilofunga kuwa na access ya internet tu.Basi hapo utaona kinachoendelea hata uwe njee ya mji au njee ya nchi au njee ya bara la afrika kwa wakati.Pia inakupa fursa katika simu yako hapo hapo kupiga picha eneo hilo linalooneshwa na kamera kupitia simu yako na kurekodi video,pia kuweza hata kumsemesha mtu unae muona kwenye kamera maana kamera ina spika ndogo ambayo anaweza kukuskia.Mbali na hilo pia ina sehemu ya TF card au memory card ambayo nayo inaweza ikawa inarekodi muda wote,16GB ni wiki nzima,32GB ni wiki mbili na 64GB ni mwezi hapo ni 24/7
MOTION DETECTION
Katika motion detection hii itakuwa nafasi ya kuitambulisha cctv camera maeneo muhimu ambayo utataka yakiguswa au kitu kupita mbele yake upate taarifa kwa e-mail,mfano kama mlango,droo,dirisha au sehemu yoyote utapata notification kwenye simu yako kama e-mail,Zinapatikana kwa Tsh.150,000/= tu.Mawasiliano 0754 83 55 43
Sent using Jamii Forums mobile app