mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Nauza CCtv camera aina ya Swan Original kutoka UK iko complete Camera 4, dvr recorder yenye 1GB, Dell screen na waya zake tayari kwa kufungwa, camera hii ni nzuri kwa usalama wa majumbani, maofisini n.k ukiifunga kwa kuingunisha kwenye internet unauwezo wa kuona matukio yote yanayoendelea sehemu ulipoifunga ukiwa nje ya tanzania, mikoani n.k kwa kutumia cm yako ya mkononi, laptop au desktop na pia inauwezo wa ku record na ku rewind, kwa mtu yoyote anayeitaji ani PM