CCTV camera zapatikana!

CCTV camera zapatikana!

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
341
Reaction score
170
Ndugu wadau wa JF kama mjuavyo usalama wako, familia na mali zako ni jambo la msingi. Nawatangazieni kwamba CCTV camera zinapatikana kwa bei ya kuridhisha. Tunapoelekea mwisho wa mwaka 2013 na mwanzo wa mwaka 2014 jizatiti kwa usalama wako,familia yako na mali zako. Ni camera nzuri, zachukua picha vizuri. Zatumika majumbani, maofisini, stores, supermarkets, kwenye godowns nk. Kuna mafundi wa kuzifunga na kufanya maintainance upon requests. Ni complete set zenye recording DVR iliyokuwa installed na Hard disc ya 1TB. For more details call +255783503864. Nawatakia kila la heri ya mwaka mpya 2014 kwa amani na usalama. Kumbuka usalama wako huanzia kwako.
 
Kwanini sisi watanzania waoga wa kuweka bei kwenye matangazo ya biashara zetu...
 
Niko interested nahitaji iwe na camera 6 nipe specs zaidi pamoja na bei
 
Kwanini sisi watanzania waoga wa kuweka bei kwenye matangazo ya biashara zetu...

Mi nashangaa pia maana biashara zote duniani uwekwa picha na bei lakin watz ni waoga washazoea kila mteja kuambiwa bei tofaut
 
Camera moja ni milioni 6 na amesema yupo namtumbo so kufanya instalation umtumie flight ticket go and return.
 
Hili tangazo ni 1/4 ya kile unatakiwa kudisplay kwenye tangazo la biashara.

Kimsingi hapa ulichofanya ni kumtisha mteja kwa kumshitua kuhusu usalama wa nyumba na mali zake ili umlazimishe kununua.

Weka aina ya hizo Cctv, uwezo wake, price per piece, ukisema complete unamaanisha nini, eleza kinagaubaga kwa kuweka specs!

Tuachane na biashara za mishen-town za kusaundisha mtu kwa kumpa maneno matamu, tuwe wazi, tumwache prospect customer anunue kwa maamuzi yanayoendana na kiwango cha ubora wa bidhaa husika.

Uswahili na biashara wapi na wapi.
 
Sasa bila kujua bei tutafanyaje maamuzi? Malizia basi tangazo watu tujisachi.....
 
Hili tangazo ni 1/4 ya kile unatakiwa kudisplay kwenye tangazo la biashara.
Weka aina ya hizo Cctv, uwezo wake, price per piece, ukisema complete unamaanisha nini, eleza kinagaubaga kwa kuweka specs!

Tuachane na biashara za mishen-town za kusaundisha mtu kwa kumpa maneno matamu, tuwe wazi, tumwache prospect customer anunue kwa maamuzi yanayoendana na kiwango cha ubora wa bidhaa husika.

Uswahili na biashara wapi na wapi.

Inaonekana hayupo serious na biashara...
 
Advertising ni Taaluma kama zilivo zingine. Tumewapuuza wataalamu matokeo yake ndo haya Matangazo ya Biashara yanashindwa ubora hata na Matangazo ya kualikana kwenye Unyago kwa kujitosheleza Maelezo.
 
Amesema bei million 10 kwanza unamtumia pesa kwenye mpesa yote ndio anakuja pia yuko nantumbo unamtumia nauli kwanza
 
Camera nane, dvr + cables ni milioni moja na nusu tu baada ya hapo kilichobaki ni fundi kuja kukufungia
 
Niko interested nahitaji iwe na camera 6 nipe specs zaidi pamoja na bei

Wadau kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya 2014.Niwieni radhi lengo langu sio kumtishia mtu usalama wake wala mali zake na si ubabaishaji bali ni biashara kama biashara nyingine so kwa yule aliyekuwa interested anaweza kuwasiliana nami. Specifications zake ni kama zifuatazo.1.
Cwp2Drj1R1w9AAAAAElFTkSuQmCC

[TD="class: xl67"] 1. Dome camera ni, Built-in IR LED light
Lens 3.6mm, DC12V, 1000tvl (Hizi TV lines inakuonyesha ubora wa kuchukua picha (the more TVL the better) yachukua matukio hata nyakati za usiku. Hii ni bora kwa kufungwa ndani( indoor)


6D9HzGe8mclbo3sAAAAAElFTkSuQmCC

[/TD]

2. Bullet camera IR LED light ( kuona mchana na usiku vizuri)
Lens CS 8 mm, DC12V Hizo 8 MM lens ni kuona kwa wide angle na umbali zaidi. Hizi ni bora kufunga nje au kwenye eneo kubwa ili kuweza kuona na kuchukua picha kwa ukubwa unaotakiwa. Maeneo kama nje ya nyumba, magodown makubwa.
w8xMhnhmzrjegAAAABJRU5ErkJggg==
3. DVR kwa ajili ya kurekodi matukio yanayochukuliwa na CCTV camera, DVR hii imeshakuwa installed na HDD ya 1tb na ina uwezo wa kurekodi kwa miezi 3 na inaformat matukio ya mwanzo once inapokuwa imejaa. Vilevile waweza kuiset ikawa inarecord pale tu motion inapokuwa detected. Hii ni ya 8 channel yaani waweza kuiunganishia camera 8.
Bei zake ni kama ifuatavyo.
1. Camera ya 1 inauzwa 150,000@
2. Camera ya 2 ni shilingi 165,000@
3. DVR 8 channel na already installed 1TB HDD bei yake ni 700,000.
Nimejaribu kuweka picha zake.


[TD="class: xl67"][/TD]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom