Zipo kuanzia mita 1 hadi 30-50 inategemea unataka HDMI mita ngapi ila kumbuka hawakati kama waya wa umeme!Habari wakuu.
Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita?
Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo.
Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na mwingine anasema unaweza katiwa mita unazotaka then unanunua vichwa
Im confused please help hasa bei kwa mita.
Thanks🙏🙏
Mku umejisikiliza au ukuelewa alichokiandika mleta mada?HDMI wanakupa waya na vichwa?Kichwa kimoja elfu 2000..waya hawakati,..wanaweza kukupa waya tu vichwa ukaenda kuunga mwenyewe,tho mbona waya na vichwa sio gharama kubwa?
Nenda Lucky Digital, Posta watakuuzia kwa urefu uutakao zikiwa tayari na vichwa vyake, bei kitonga tu. Namba zao ni 0763 042 553 (simu au whatsapp), wapo pia instagramHabari wakuu.
Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita?
Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo.
Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na mwingine anasema unaweza katiwa mita unazotaka then unanunua vichwa
Im confused please help hasa bei kwa mita.
Thanks🙏🙏
Nimesoma tena labda wenge la usingizi,ila labda sijamuelewa OR DVR yangu ya kizamani,.Mku umejisikiliza au ukuelewa alichokiandika mleta mada?HDMI wanakupa waya na vichwa?
Hapa ndo ulitakiwa kuuliza kabla ya kujibu jibu tata,HDMI huwezi kunga vichwa maana ina waya almost 20Nimesoma tena labda wenge la usingizi,ila labda sijamuelewa OR DVR yangu ya kizamani,.
HDMI inaingia kwenye DVR na TV or Monitor..
Waya wa camera na Pins zake zinaingia kwenye DVR na Camera..
Ambapo sijaelewa HDMI za CCTV ni zipi??maana HDMI na waya wa Camera ni vitu viwlili tofauti ila yeye kaandika kama kitu kimoja,kama sijaelewa naomba unielekeze or nimepitwa na Techhapo ndo ulitakiwa kuuliza kabla ya jibu tata
WKichwa kimoja elfu 2000..waya hawakati,..wanaweza kukupa waya tu vichwa ukaenda kuunga mwenyewe,tho mbona waya na vichwa sio gharama kubwa?
Huo wa kuunga vichwa si ndo wa kukata mkuu?Kichwa kimoja elfu 2000..waya hawakati,..wanaweza kukupa waya tu vichwa ukaenda kuunga mwenyewe,tho mbona waya na vichwa sio gharama kubwa?
Huyu fundi keshaleta huo wa kuunga.Pima urefu unaotakiwa kanunue waya ulio na vichwa tayari kwa urefu unao hitaji.
Mambo ya kuunga unga HDMI cable kienyeji mtaani utasumbuka Sana na marekebisho (maintenance) kila wakati.