CCP wanatoa elimu ya uraia na saikolojia Jamii?

kilemi

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
547
107
Kwa haya yaliyotokea Arusha na sasa Mbarali, nina wasiwasi na elimu wanayopata maaskari polisi wanafunzi! Yaelekea wanajifunza tu kulenga shabaha na namna ya kurusha mabomu!
Nashauri iwepo ellimu ya haki za raia pamoja na saikolojia jamii (social psychology) kwani mazingira yanavyoonekana hakuna raia aliye tayari tena kusikilizana na polisi!
 
niliambiwa na mdogo wangu alomaliza hapo soon kuwa wanafundishwa la human rights,sociology na masomo yote ya sheria. Big problem ni selection criteria wanayo2mia ndo inaleta shaka! Pia yawezekana hata instructors siyo competent katika ufundishaji nalo hilo ni tatizo. Wanatakiwa wapitie upya syllabus zao
 
Back
Top Bottom