CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

Wakijiunga tu Jirani zenu waTanganyika watakufa na vihoro. Hongera Znz na Mola atie shani yake muweze kutekeleza hayo kwa nia njema
 
Napita tena.... kwani wao wakijiunga na OIC sis inatuhusu nini? wao wajiunge tu.... kwa kuwa hawawezi .. hawana uwezo huo wao na Urambo, Korogwe, Mpanda, Ileje, Sikonge, Namtumbo, Lindipundipu, nk...
Mbona ni sawa tu..... Napita Jamani..
 
“Kuna mambo tumekubaliana ndani ya vikao vya juu vya chama yaondolewe katika orodha ya mambo ya Muungano, kama suala la mafuta na gesi asilia, bandari, takwimu na uhusiano wa kimataifa ili Zanzibar iweze kuwa na nafasi ya kujiunga na OIC au umoja wa nchi za visiwa duniani,” alisema Vuai.

Utaondoaje uhusiano wa kimataifa kutoka kwenye swala la muungano? Huu muungano utakua wakijinga sasa. Bora waseme kabisa Zanzibar itakua tayari kujitoa kwenye muungano by 2014.
 
haya zenz na iwe nchi na si mkoa ili ijiamlie masuala yao. Muungano vunjia kule mbali.
nahilo ndo tunalitaka wazanzibari lakini janja ccm safari hii haitafua dafu,wazanzibari wameshaamua, ioc au hakuna muungano ni wa mkataba tu kila moja abebe ubao wake na jahazi litote. Wazanzibari si waioslamu watanganyika waliodanganywa na ccm kuwa watapewa kadhi ili waislamu aisidie ccm kurudi madrakani alipoona maji yako shingoni na sasa wanataka kuwahadaa wazanzibari. Mmechelewa.2014 baibai ccm n baibai muungano
 
Kweli kabisa wa Pemba na makunduchi wanahaki sawa ndani ya Jamhuri ya TZ lakini wabara/wabongo wananyanyaswa kule Zanzibar hata makazi utakuta wengi wapo Fuoni na Bububu.Wapemba na makunduchi ni kama mtoto anataka ale mkate na pia abaki nao.Haiwezikani.
 
Zanzibar ni Nchi?
Hii nayo sasa kama danganya toto
kila siku wanasema hayo hayo
Ngoja mgogoro wa Malawi uishe
maana ndiyo wenye tija sio
huko kwenye marashi ya karafuu.
nA NYIE WATANGANYIKA HAMCHOKI KUVILILIA SI VYENU? MARA MALAWI MARA ZANZIBAR UTAFIKIRI MKIWA NAVYO MNAWEZA KUVIENDESHA, ILI MRADI HUSDA TU. WATU MILIONI, NCHI MAMILIONI YA HEKTA MACHO YAMEWATOKA KWA KISIWA CENYE MAILI ZA MRABA ZISIOFIKA ELFU MOJA. KWANZA JITAHIDINI ALAU KUWEZA KUWALISHA HAO WATANGANYIKA, KUAWAPA ELIMU MAJI SAFI NA SALAMA NDO MUNZE KUFIKIRIA KUWCHUKUWA MAENEO MENGINE KUONGEA ZA UMSIKINI ULIOKITHIRI

WACHA UJINGA WAHESHIMU WAZANZIBAR WANAKUTAWALENI KISIASA NA KIUCHUMI. AMKA ONA MBALI. TULIKUTAWALENI HUKO NYUMA NA TUTAENDELEA KUKUWTAWALENI. YENU BENDERA TU NA MAISIFU
 
wajiunge tu na hao mashetani [ oic ].
na akisoma kadianali pengo uliyoyaandika atakufukuza kwenye kanisa lake. Kumuka alivyokuja juu na kupinga kitendo cha zanzibar kujiunga na oic
pengo ndio shetani anaefuga wanaume wenzake kanisani.
Ni fahari kubwa sana kwa kutokuwa mfuasi wa dini ya mwituni na ushenzini
 
Ndio gesi na mafuta viondolewe kwenye mambo ya muungano na pia sie bara tuondoe ardhi katika mambo ya muungano maana mmejazana huku kwetu na mnamiliki mamaia ya ekari na mnaishi bila bugudha wala ubaguzi waznz ni watu wa hovyo sana yote hii ni ubinafsi
 
wanauongelea muungano katika vikao vya chama utadhani wanaongelea TANU+ASP=CCM
 
Back
Top Bottom