CCM yazidi kuumbuka

Nina wasiwasi na hiyo barua.... Ushahidi zaidi unahitajika!! Sina wasiwasi kuwa vurugu hizo zipo kisiasa, na zinatengenezwa kwa ajili ya kuichafua CHADEMA.
 
Kamati kuu ya CDM chini vichwa kama Mbowe na Slaa wamekaa leo wakaja na hii kitu. Ama kweli hii ni hazina ya taifa kwa fikra.
 
Uhmmmmmmm naona kizunguzungu! Hii haiwezekani, barua hii imechakachuliwa! Labda iwe kweli CCM imechoka kiasi haioni uzembe wa namna yeyote tena!
 
Nawaomba walioko Moshi watupe hali halisi hapo mjini ili tulinganishe na barua hii.
 
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe

Weeee Alu Sigamba mara moja hii umesahau UWT/TISS watakuTEKA wakupeleke singa chini wakutese mpaka "uungame" kwamba ni CHADEMA iko nyuma ya mgomo huo, bora ujipange kwanza maana hatujui kama una uwezo wa kwenda kutibiwa alikolazwa Dr Ulli!!? au unawatafutia balaa viongozi wa Chadema maANA ccm INA MBINU NYINGI ZA KUJIHAMI BAADA YA KUSHINDWA KUPAMBANA KWA NGUVU YA HOJA SASA NI MAANGAMIZI, Ang'adu ang'adu mwenye akili nyingi za kujitambua na kuwaamsha wananchi wenzie na AUWAWE! CHONDE CHONDE ALU SIGAMBA USIHATARISHE MAISHA YA VIONGOZI WA CDM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tumekushtukia!
 
Soma nakala zimetumwa kwa kina nani na nyadhifa zao!!!!!!!!!!!!!
CCM is a dead Creature.....
 
Uhmmmmmmm naona kizunguzungu! Hii haiwezekani, barua hii imechakachuliwa! Labda iwe kweli CCM imechoka kiasi haioni uzembe wa namna yeyote tena!

Kwani hilo wewe unasubiri utangaziwe kwa baragumu?! hebu fikiria, Waziri mkuu wa CCM anajibu swali kwamba serikali haina uhakika kama Chadema wanahusika na mgomo wa madaktari lakini vyombo vya usalama vinalifanyia kazi kubaini ukweli na taarifa itatolewa na hatua muafaka kufuata: anaamka mbunge wa kwanza mchumi mwenye first class degree Nchemba, anasema CDM inahusika. anaamka mbunge wa pili, Fundi mchundo na mkuu wa mkoa Manyanya anasema CDM inahusika sasa hivi nani anatakiwa kutoa msimamo wa serikali ya CCM; mbunge au PM, au ndio yale yale ya nyumba isiyokuwa na mwenyewe kila mtu ni mkubwa?! CCM oyeeeeeeeee?!
 
 
Wait a minute hii barua wameandika magamba?hili walilotaka kulifanya limefanikiwa?Nimependa hiyo CC: Usalama wa Taifa Kikosi Maalum kudhibiti Chadema?

Mungu ni Mwema endelea kutufunulia maovu yote yanayofanywa na hawa madhalimu kwa lengo la ukandamizaji.

Msitueni Nape kuwa ipi Huku au kama vipi itupieni kwenye FB wall yake ili akanushe au kama vipi m Pm kabisa.
 
The level of panic in CCM now is not good for the country and you can repeat this sentence 10 more times.

The ruling party is just too dangerous for the peace and harmony in the country after realing that over 80 % of the country's electorate only asking of when it is GOING AWAY.
 
Chama cha mabwepande! Makuubwa
 
Chama dhaifu tena ambacho kipo mbali kabisa na misingi ya Mung mkuu wa Israel.
 
Humu jf kuna wataalam wa maandishi, naomba mtu yeyote mwenye barua au andiko lolote alilowahi kusaini huyu bwana,atuwekee hapa mntapata ukweli au aende kwenye ubao wa matangazo apige picha saini ya huyu mtu atuwekee hapa....ikipatikikipatikana ntarudi na majibu ni maoni a
 
Hii ni zaidi ya kufulia, inaonyesha kwamba utawala wa sheria haupo kabisa. Yaani anawaamrisha watu wafanye fujo halafu anawaahidi kwamba hawatachukuliwa hatua hata kama maafa yatatokea!!!!!!!!!HUYO KATIBU ALIYEANDIKA BARUA HIYO APIMWE AKILI.

Kama akili ya mwenyekiti wao Taifa iko vile tutegemee maajabu gani kwa hawa wa chini!?
 
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe

Chadema sera kubwa yenu iliyobaki ni uwongo, fitina na majungu jaribuni tena

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…