MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Ukiamini utakubalina nami, usipoamini utanipinga,
Katika siasa za kweli kama mdau maarufu wa CCM wote HATUNA AMANI na furaha kutokana na namna CHADEMA kinavyozidi kujijengea umaarufu, kupitia hoja na kuelimisha wanajamii.lAZIMA tujiulize, KWANI CHADEMA kilianza lini?nasie ccm tumeanza lini kusimama kwenye ulingo wa siasa?,CHADEMA wanapoteza nini,sie CCM ndo tunapoteza muelekeo na ukweli utandawazi utatulazimu kujitahidi kuwa wakweli ili wimbi la kukimbiwa lipungue.Tunachoahidi Arumeru kwa sasa ni kiini macho,hakuna litakalotekelezeka kupitia siasa za kukumbatiana.Kama tunajiamini kwanini tutumie nguvu kiasi hili kwenye uchaguzi mdogo?
kwanini tuhahe kwa sababu ya CHADEMA?kwani tusiwajibike?
Ukweli ni kwamba CCM kilichobaki ni kujaribu kuiga mfumo wa CHADEMA ila kweli tumechokwa, hata na wazee wanaipenda CHADEMA?SIASA zetu ni pesa? au kulinda maslahi?
Ni vyema tukubali kuwa CHADEMA ni mwiba na kupitia wao asilimia kubwa ya raia hawadanganyiki tena, wanaotusapot mwisho wa siku wanataka tuwasainishe lunch au dina?Tunaelekea wapi?Imefika wakati nasie tuwajibike ipasavyo kwa wananchi na tuache siasa za jazba na kujibizana na kuchafuana na CHADEMA.Kama ni wazazi CCM ndio wazazi na CHADEMA NI WATOTO.je tunakosa uadilifu kwa watoto kiasi cha siasa za msingi tunayoinesha sasa?
Lazima tukubali kuwa huu ni mpito wa siasa za kweli na hatuna budi kuwajibika kadri ya sera tunazozitoa kwa wapiga kura wote Tanzania.
Kwanini tusioneshe vipaumbele na matokeo yake yaonekanae?Mf.Kufufua viwanda,usafiri wa reli,nenda Tanga kwa Mfano uangalie Railyway station,Kiwanda cha matairi-tufikirie kujenga ajira kwa vijana kupitia mipango mikakati inayoonekana.....
Hisia za wengi kwa chama sasa, hiki ni chama cha matajiri na wafanyabiashara...kwanini tuweke taswira ya namna hii kwa uma wa Watanzania?
Je ni kweli vijana waiopo CCM wapo kwa mapenzi ya Watanzania au kwa maslahi ya mstari wa maslahi..yaani kupeana...hiki hakikisha kinakuwa chetu na sio chao/ kwa umma wa Watanzania kwa kihitajikavyo?
Tujitafakari upya....Lusinde...kutumia tafsida kwenye fani ya siasa zenye ushabiki hadi wa watoto sio swala la kupuuzwa...Chama makini lazima kimwajibishe na Umma wa Watanzania ufahamu hilo...
Ukinipenda nikubali ukinikata niache, ila huu ndio ukweli
Badae.